Wakati vikosi maalum vya Uingereza vilipovamia nyumba ya familia huko Afghanistan mnamo 2012, waliwaua wazazi wawili waliokuwa na umri mdogo na kuwajeruhi vibaya wana wao wachanga. Uchunguzi wa BBC ...
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini Afghanistan imesababisha vifo vya watu 15 wakiwemo watu 10 wa familia moja kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini ...
Watu 10 waliuawa wakati gari lililokuwa limeegeshwa nyumbani kwao lilipolipuliwa siku ya Jumapili. Lizzy Masinga Chanzo cha picha, AFP Zaidi ya watu 44,000, asilimia 45 kati yao watoto, wameripotiwa ...
Jeshi la Israel linasema zaidi ya mateka 200 wanazuiliwa katika Ukanda wa Gaza. Nini kitatokea kwao ikiwa mashambulizi makubwa ya ardhini yataanza? Familia moja ya mwanamke wa Israel anayeaminika ...
Shirika la Utangazaji la Nambia, NBC limeripoti kuwa uji huo ulichanganywa na kitu kilichochacha kilichobaki kutoka kwenye kinywaji cha pombe kilichotengenezwa nyumbani. Kwa mujibu wa NBC, watu ...
Mapigano yalipamba moto siku ya Jumamosi kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, ambao wanajeshi wa Israel wanatafuta kuudhibiti ili kujikita zaidi upande wa kusini, na moshi mkubwa ulitanda kwenye mji wa ...
Takriban watu wanane wa familia moja wamekuja maji nchini Msumbiji baada ya boti la wavuvi waliokuwemo kuzama kwenye Mto Zambezi, huku watu wawili wakinusurika na wengine wawili hawajulikani walipo, ...
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results