Makala ya Muziki Ijumaa juma hili tuko naye studio Omar Tego Msanii wa miondoko ya Taarab nchini Tanzania ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake Katiba, ambatana naye Ali Bilali katika makala haya ...