HABARI kubwa kwa sasa duniani katika medani za kikapu ni juu ya nyota wa Oklahoma City Thunder, Shai Gilgeous-Alexander alivyofanikiwa kuweka rekodi mpya katika Ligi ya Kikapu Marekani ...
Kenya ambayo ni mara yake ya kwanza kushirikia mashindano haya, ilichomoza na ushindi wa goli 1 kwa sifuri dhidi ya Chui wa Kinshasa katika mchezo wa Kundi A uliochezwa katika uwanja wa Kasarani ...
Ikulu ya Marekani imeweka video kwenye akaunti yake ya mitandao ya kijamii inayochanganya picha za mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran na video zinazoaminika kutoka kwa mchezo maarufu wa ...
MWISHONI mwa wiki hii mashabiki wa soka nchini wanatarajia kushuhudia moja ya michezo mikubwa katika Ligi Kuu Bara pale mabingwa watetezi, Yanga, watakapokutana na Azam FC katika mchezo unaotarajiwa k ...
Wakati mashabiki wa gofu wanashuhudia wachezaji wakipiga mipira kwa ustadi mkubwa kwenye mashindano ya dunia ya gofu ya Magical Kenya Open, macho mengi huwa kwa mchezaji anayeshikilia kilabu.
Maelezo ya picha, Cristiano Ronaldo ameifungia magoli 28 Ureno kwa kichwa 28 , yakiwemo magoli mawili dhidi ya Jamuhuri ya Ireland. 2 Septemba 2021 Cristiano Ronaldo amevunja rekodi ya dunia kwa ...
Michuano ya Kombe la Dunia imemalizika nchini Urusi, lakini licha ya mchezo huo kuwa na ufuasi mkubwa, ni wachache sana ambao hutafakari kuhusu chanzo cha mchezo huu maarufu. Suala hilo la ni nani ...
Al Hilal Omdurman FC inajiandaa kwa moja ya mechi zake muhimu zaidi msimu huu, itakapoikabili RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya CAF Champions League siku ya Ju ...