BAADA ya kukwama kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba inaanza upya msako wa tiketi ya kushiriki michuano ya CAF kwa msimu ujao, itakaposhuka usiku wa leo kwenye Uwanja wa ...
Klabu mbili maarufu za soka nchini Tanzania, Yanga na Simba zinateremka dimbani leo kwa mchezo wa ratiba ya ligi kuu unaotarajiwa kutoa mwelekeo wa mashindano hayo ya kandanda kwa mwaka 2024/25.
Hatimaye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 (TotalEnergies CAF Confederation Cup), yamefikia tamati baada ya fainali kati ya Simba Sports Club (Simba) kutoka Tanzania, na Renaissance ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves amesema kutakuwa na mabadiliko ya mara kwa mara kwenye kikosi cha timu hiyo kutokana na ratiba ngumu iliyo mbele yao, huku akiwaonya wachezaji wa kikosi hicho ...
Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya Afrika ...
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Katika idadi hiyo Simba inaongoza kwa kushinda mara nne na Yanga ikipata ushindi mara tatu na mara nne zikienda sare lakini kizuri kwa Yanga ni ku... OKTOBA 18 uwanja wa taifa Dar es Salaam kutawaka ...
NAIROBI – Klabu ya Simba ya nchini Tanzania, inawazia kuwasilisha kesi dhidi ya tabia za mashabiki wa klabu ya Wydad Athletic Club wakati huu wakijandaa kupambana katika mechi ya nduru ya pili katika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results