Kwa mara ya pili serikali ya Kenya imepiga marufuku filamu inayoangazia masuala ya mapenzi ya jinsia moja iitwayo “I am Samuel”. Bodi ya filamu KFCB ilitangaza kuwa filamu hiyo haifai kutazamwa na ...
Watayarishaji filamu wawili nchini Nigeria wanakabiliwa na tisho la kufungwa ikiwa watapuuza onyo kali walilopewa na bodi ya filamu nchini humo na kuendelea mbele na mpango wa kuachia filamu inayohusu ...
Tamasha kubwa la filamu barani Afrika limetoa tuzo kwa muigizaji wa Kenya licha ya kuigiza tabia za mapenzi ya jinsia moja katika filamu iliyofungiwa kuonyeshwa nchini mwake. Tamasha hilo lijulikanalo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results