Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia ...
Mahadhi ya muziki wa taarab asilia kwa miaka mingi umekuwa maarufu katika pwani ya Afrika Mashariki. Hata hivyo muziki huo unadaiwa kupoteza umaarufu wake kutokana na kuingia kwa mfumo mpya wa ...
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na Steven ...
Kurudi kwa taarab asilia Zanzibar 09:49 Siasa Ahmad Juma 29.12.2016 Vya kale ni dhahabu. Vijana wa Zanzibar wameamua kushirikiana kurejesha tarabu asilia, visiwani humo. Kundi la Rahat-L-Zaman lina ...
Vya kale ni dhahabu. Vijana wa Zanzibar wameamua kushirikiana kurejesha tarabu asilia, visiwani humo. Kundi la Rahat-L-Zaman lina lengo la kuwakumbusha watu nyimbo za kale zilizohaulika.