MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’, na mwigizaji Frida Kajala, wamevuta hisia za ...
MKE wa msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa zamani wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, Grace Mgonjo maarufu kama ‘Mama Lisa’, amebainisha kuimarika kwa afya ya mume wake na kutoa ...
DAR ES SALAAM: Riyard Mahrez ni kama amegoma kuzeeka hivi, katika maisha ya soka nadra sana ingawa inatokea kumkuta mchezaji wa miaka 34 akiwa bado anakiwasha. Mpaka sasa AFCON 2025, Mahrez ameshaweka ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Wananchi kushirikiana na Serikali ...
GEITA: SERIKALI imekamilisha kufunga mifumo ya kunasa radi katika shule 12 zilizopo wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa ni ...
SIKU kabla ya uchaguzi, wakati na baada ya uchaguzi mara chache huwa tulivu. Katika demokrasia, siku hizo huleta hofu, kauli ...
wamewataka Watanzania kumweka mbele Mungu na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kulinda amani ya nchi. Sambamba na hilo, ...
SHINYANGA: ASKOFU wa Kanisa la Ufunuo mkoani Shinyanga, Samawi Bendera amewashauri waumini wa kanisa hilo kujiepusha na ...
WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi mkoani Morogoro. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu imesema ...
MAUZO ya korosho kwenye minada mbalimbali nchini yamevunja rekodi baada ya kuvuka Sh trilioni 1.2 ambazo zimekusanywa nchini, ...
WADAU mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wasomi na wachumi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya dhati ya ...
MWAKA Mpya 2026, ndio umeanza ikiwa ni siku ya pili tangu Watanzania walipoungana na watu wengine duniani kuupokea mwaka huo.