Ni wachache wanaoweza kufikiria kupona katika ajali ya gari ya kusikitisha iliyogharimu maisha ya marafiki wawili wa karibu. Lakini kwa Anthony Oluwafemi Olaseni Joshua, tukio hilo lilikuwa na uchungu ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya uwepo wa mvua na radi kwa kipindi cha Januari 1 hadi 10, 2026, huku vipindi vya mvua vikitarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Tanzania.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Arusha. Hasira hasara. Ni kauli inayoakisi kilichowakuta wakazi watatu wa Murongo, wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera, baada ya mmoja wao kumtuhumu Jenester Petro kutohudhuria maziko ya mtoto wake kwa ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akizungumza wakati akifungua mkutano wa Anga na Utalii Afrika (Aviadev 2025) Unguja Zanzibar. Mkutano huo umezkutanisha nchi 50 na mashirika 48 duniani. Unguja.
Dodoma. Jeshi la Uhamiaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu, Desemba 29, 2025, kupitia kurasa rasmi za jeshi hilo, ajira ...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Natu Mwamba mwenye nguo ya maua akionyesha mkataba wa msaada wa Sh27.3 bilioni uliotolewa na Serikali ya Japan kwa ajili ya kuboresha huduma za mama na mtoto, kushoto ...
Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Dk Fredrick Shoo, akimpa mkono Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati,Dk Solomon Massagwa, leo Jumapili Septemba 29, 2024 wakati wa ibada ya kumstaafisha Dk ...
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Ashatu Kijaji,akiwa na baadhi ya watalii kutoka nchini Italia,waliopo nchini kutembelea vivutio mbalimbali ambapo jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, ...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud akizungumza aliposhiriki hafla ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa, iliyoandaliwa na Kanisa la Anglikana Mkunazini, ...