KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Serengeti wamemvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewapandisha kizimbani raia wanane wa Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa k ...
RAJABU Reli (22) amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa na kutembea na sare za Jeshi ...
UNAPOZUNGUMZIA usimamizi shirikishi wa misitu, siyo wananchi wote katika wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, sasa wanaelewa ...
WAKATI kikosi cha Yanga kinatarajia kuondoka nchini leo kuelekea Mauritania kuifuata Al Hilal kwa ajili ya mechi ya raundi ya ...
HAKUNA kulala, tayari kikosi cha Simba kimeondoka nchini leo alfajiri kuelekea Angola ili kuifuata, Bravos do Maquis, kwa ...
INAPOTANGAZWA dhana inayohusiana na huduma ya dharura hospitalini, hapo inagusa sura kuu kadhaa, kuwahisha kunusuru hai wa ...
WAKATI akijipanga kuisaidia timu yake kutinga hatua ya robo fainali katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
Imeelezwa kwamba hali ya amani, utulivu, na ushirikiano unaosimamiwa na viongozi wakuu wa nchi imesaidia kuleta chachu kubwa ...
WAFANYABIASHARA wameshauri serikali kuwekeza katika kuzalisha wataalamu watakaolisaidia taifa kuelekea miaka 25 ijayo badala ...
KITUO cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), kimesema mwisho wa mwezi huu kitatuma wataalamu kwenda Manispaa ya ...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya wanaotumia fedha za kigeni kufanya miamala nchini ikisisitiza kufanya hivyo ni kuhujumu ...