Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kusitisha kwa muda safari za treni ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Morogoro na Dodoma kuanzia leo Desemba 31, 2025, kufuatia uharibifu wa ...
Dodoma. Jeshi la Uhamiaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu, Desemba 29, 2025, kupitia kurasa rasmi za jeshi hilo, ajira ...
Arusha. Hasira hasara. Ni kauli inayoakisi kilichowakuta wakazi watatu wa Murongo, wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera, baada ya mmoja wao kumtuhumu Jenester Petro kutohudhuria maziko ya mtoto wake kwa ...
Dodoma. Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa. Tukio hilo limetokea jioni ya Jumatano Desemba 23, 2025 katika Kijiji cha Wiliko Kata ya Mlowa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa. Waliofutiwa mashtaka na kuachiwa huru ni mshtakiwa wa pili katika kesi hiyo Zenabu Islam(61) ambaye ni mkazi wa Kariakoo na mshtakiwa wa tatu, ...
Dar es Salaam. Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Target Tours and Labour Surply Company Limited, imetangaza fursa za ajira kwa madereva wa pikipiki katika ...
Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji akizungumza na madiwani leo Desemba 23, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Baraza la Jiji Zanzibar, Michenzani Mall, Mjini Unguja Unguja. Meya wa Jiji la ...
Mkuu wa wilaya ya Arusha Joseph Mkude (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi wa Mipango, Ubora na Udhibiti Vihatarishi, wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Dk Boniface Nobeji. Arusha.
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tukio la kuchomwa moto na kuharibiwa kwa magari mawili katika Wilaya ya Mvomero, tukio lililotokea Desemba 17, ...
Dar es Salaam. Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kutokubali kuchafuliwa wala kumuacha au kumlinda mtu yeyote mwenye cheo kikubwa au ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results