Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kusitisha kwa muda safari za treni ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Morogoro na Dodoma kuanzia leo Desemba 31, 2025, kufuatia uharibifu wa ...
Dodoma. Jeshi la Uhamiaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu, Desemba 29, 2025, kupitia kurasa rasmi za jeshi hilo, ajira ...
Dar es Salaam. Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Target Tours and Labour Surply Company Limited, imetangaza fursa za ajira kwa madereva wa pikipiki katika ...
Dodoma. Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa. Tukio hilo limetokea jioni ya Jumatano Desemba 23, 2025 katika Kijiji cha Wiliko Kata ya Mlowa ...
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa Jumanne ya Desemba 16, 2025 katika Kijiji cha Ruanda, Mbinga mkoani Ruvuma. Jenista ambaye amekuwa mbunge wa Peramiho ...
Arusha. Hasira hasara. Ni kauli inayoakisi kilichowakuta wakazi watatu wa Murongo, wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera, baada ya mmoja wao kumtuhumu Jenester Petro kutohudhuria maziko ya mtoto wake kwa ...
Dar es Salaam. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na ...
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Ashatu Kijaji,akiwa na baadhi ya watalii kutoka nchini Italia,waliopo nchini kutembelea vivutio mbalimbali ambapo jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, ...
Dar es Salaam. Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 27, 2025 la kuzuia fedha zilizopangwa kutolewa kwa Tanzania mwaka 2026, Serikali imeeleza kwamba ...
Katika uhusiano wa ndoa, suala la kutotoshelezwa kimapenzi ni jambo linaloweza kumgusa mtu yeyote, na mara nyingi halimaanishi kwamba mwenzi wako hafai au hashughuliki. Wakati mwingine, hata akiwa ...
Arusha. Watu watano wamefariki dunia na mmoja akijeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika maeneo ya Mbuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na ...
Dodoma. Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results